Psalm 147:1-6, Matthew 26:26-30, 1 Corinthians 11:23-28
29-03-2018
Receive Holy Communion and be strengthened on your faith...Shiriki chakula cha Bwana imani yako ikue. {Pastor P Chuwa}
Romans 5:12-16 (Warumi 5:12-16)
24-03-2018
Naturally, we are all sinners, but in Christ our sins are forgiven. Kwa asili binadamu tu wenye dhambi, lakini kwa Yesu Kristo tunapata msamaha wa dhambi. {Pastor P Chuwa}
Exodus 10:21-29 (Kutoka 10:21-29)
23-03-2018
Don’t give up keep trusting in Jesus. He will give you victory...Usikate tamaa, mtegemee Yesu akukupa ushindi. {Pastor P Chuwa}
John 7:25-32 (Yohana 7:25-32)
22-03-2018
Who is Jesus in your life? ..Yesu ni nani katika maisha yako? {Pastor P Chuwa}
Leviticus 16:20-28 (Walawi 16:20-28)
20-03-2018
Through the death and resurrection of Jesus Christ, we can be reconciled with God..Kwa kufa na kufufuka kwake Yesu Kristo, tunaweza kupata upatanisho na Mungu. {Pastor P Chuwa}
Exodus 5:1-7 (Kutoka 5:1-7)
19-03-2018
If God is for us who can be against us? Kama Mungu yupo nasi, nani awezaye kutupinga? {Pastor P. Chuwa}
Psalm 32:8-11, Luke 7:40-50, Hebrews 2:17-18
18-03-2018
Jesus Christ is the way to God. Yesu Kristo ndiye njia ya kufika kwa Mungu. {Pastor P. Chuwa}
Job 10:8-13 (Ayubu 10:8-13)
17-03-2018
Turn to God in prayer, he will answer your needs.. Njoo kwa Mungu kwa maombi, atajibu mahijati yako. {Pastor P. Chuwa}
Genesis 1:1-5 (Mwanzo 1:1-5)
16-03-2018
God is Eternal. He has always existed and always will exist..Mungu ni wa milele, alikuwepo na ataendelea kuwapo. {Pastor P. Chuwa}
Revelation 5:13 (Ufunuo 5:13)
15-03-2018
God our Creator is worthy of our praise...Mungu muumba wetu anastahili sifa. {Pastor P. Chuwa}

Pages