Ephesians 4:25-3 NIV {Efeso 4:25-3}
30-06-2017
Our good behavior will also be a testimony to those whose life style is different. ..Ukiacha tabia mbaya utampendeza Mungu na itakuwa ushuda mzuri kwa watu wengine. {By Pastor P. chuwa}
Matthew 13:24-30 NIV {Mathayo 13:24-30}
30-06-2017
It is not for us to judge others in maters of faith... Sio jukumu letu kuwahukumu wengine katika mambo ya imani. {By Pr. P. Chuwa}
Proverbs 3:1-5 NIV {Methali 3:1-5}
29-06-2017
We should ask God to guide us in life and show us what is pleasing to Him...Lakini zaidi ni muhimu kutafuta kuongozwa na Mungu katika kila kitu...{By Pr. P. Chuwa}
Exodus 34:1-4 NIV {Kutoka 34:1-4}
26-06-2017
We are all sinners and we need a Saviour to reconcile us to God. ..Sisi sote ni wenye dhambi,hatuwezi kujitakasa, tunahitaji mwokozi...{By Pr. P. Chuwa}
Psalm 61:1-8,   Romans 12:1-2, Matthew 9:9-13 {Zaburi 61:1-8, Rumi 12:1-2, Mathayo 9:9-13}
25-06-2017
Jesus is calling each one of us...Yesu anatuita sisi sote..{By Pr. P. Chuwa}
1 Chronicles 22:19 NIV {1 NYAKATI 22:19}
24-06-2017
Building the Church of Christ concerns all of us..Kazi ya kujenga kanisa la Kristo inatuhusu sisi sote. {By Pr. P. Chuwa}
Ezra 10:4
22-06-2017
Let us know that we should be prepared to give our time, money and energy to build God’s kingdom...Unapaswa kuwa tayari kujenga Ufalme wa Mungu kwa njia ya muda na nguvu zako na sadaka zako..{By Pr. P. Chuwa}
EPHESIANS 5:8-14 {EFESO 5:8-14}
21-06-2017
We cannot earn our salvation by good works. Hatuwezi kupata wokovu kwa njia ya kutenda mema. {By Pr P. Chuwa}
Yohana 17:20-23 {John 17:20-23}
20-06-2017
Ni pale tu ambayo tutakuwa wamoja na Yesu Kristo ndiyo tutakapoweza kuzitenda kazi halisi za Mungu. .Only when we have truly become one with Jesus Christ, are we able to work the works of God...{By S.Jengo, Elder}
2 Wakorintho 4:8-10 {2 Corinthians 4:8-10}
19-06-2017
Yesu hakupata kushindwa wala hana mpango wa sisi tushindwe maishani. Jesus was never defeated and He has not planned for us to be defeated...{ By S. Jengo, Elder}

Pages