Changamkeni, Mkombozi yu karibu. { Somo na Heri Buberwa}
Siku ya Jumapili, tarehe 26/10/2025, Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front uliadhimisha kilele cha Sikukuu ya Mavuno ya Mwaka 2025...
Matukio mbalimbali katika picha kutoka katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Umoja wa Wanaume wa Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front ...
Wapendwa Washarika, tunapenda kuwakaribisha katika ibada maalum ya Sikukuu ya Mavuno kwa mwaka 2025 itakayofanyika katika viwanja...