Matangazo ya Usharika tarehe 25 Januari 2026

DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI

MATANGAZO YA USHARIKA

TAREHE 25 JANUARI, 2026

SIKU YA BWANA YA MWISHO KATIKA MAJIRA YA UFUNUO

NENO LINALOTUONGOZA NI

YESU AJIDHIHIRISHA KATIKA UTUKUFU WAKE

1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.

2. Wageni: Hakuna mgeni aliyetufikia na cheti.

3. Matoleo ya Tarehe 18/01/2026

Jumla - Tshs 16,381,350/= Rwanda FR 5,000/=

MATOLEO KATIKATI YA WIKI

Matango ya usharika tarehe 18 Januari 2026

DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI

MATANGAZO YA USHARIKA

TAREHE 18 JANUARI, 2026

SIKU YA BWANA YA 2 BAADA YA UFUNUO

 NENO KUU: NYUMBA ZETU HUBARIKIWA NA MUNGU

1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.

2. Wageni: Hakuna mgeni aliyetufikia na cheti.

3. Matoleo ya Tarehe 11/01/2026

Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.

NAMBA YA SADAKA KWA NJIA YA MTANDAO:

- 0757 391174 - KKKT AZANIA FRONT